Thursday 12 January 2017

Its NIT Mafia All Along

Hahahahha....afrocinema now continues., Kuna jamaa inasemekana anatembea tembea na fake degrees akisema yeye ni lawyer from UoN. Siko sure kama ni kweli but ukiangalia jina lake kwa UoN portal ya graduates 2013 jina
lake haliko. Halafu kuna watu wanalazimisha akuwe MP wa Garsen but honestly, hebu tukuwe serious kiasi,,,sisi wakenya tuko na shida gani?? We are fond of choosing none performing, irresponsible, arrogant leaders halafu 2-3 years down the line tunaanza kulalamika eti tumechoka yet sahizi munataka kuchagua watu hao hao ambao wako na questionable characters,,,anyway nishajua ni kina nani wanapush tukuwe na viongozi kama hawa,,, its the NIT mafia yet again. Sijui kwa nini these people wako na efforts hizi zote kuharibu tanariver in general. why?? whý?? NIT mafia ni nini mbaya na nyinyi?? Instead of coming up with a serious line up munakuja na watu ambao wamekuwa wakizunguka na fake certificates from reputable universities...why?? Anyway, nimewasoma, and this is their strategy...(halafu nilisema earlier am just a beast keeper)
.
.
.
Governor:  DBM
Senator: Bwanamaka
Mp: Maurice (garsen)
.
NIT are pushing for Bwanamaka because he is from the north, and he can seduce 'some' votes zikuje kwao. Anyway, we all know this guy is being used by NIT but deep down them wanajua he is not worth it.(kuprove hapa we can use the 'Ben Matheka theory' kwa wale wanaweza kupiga hesabu haraka haraka). Halafu tukija kwa huyu jamaa anaitwa Maurice tunajua he is not worth it. The guy has been claiming to be a UoN graduate na hana real papers, so soon mtu anaweza kujitokeza na kumpin down. The guy is being used by NIT because wakimsaport kura za Salama na Mwina 'automatic' zitakuja kwao, kwa DBM...they dont care kama hawa jamaa wana questionable characters ama any. Unaona? Hii ulikuwa ukiijua ama ulikuwa unafuata tu? I told u these NIT mafia guys are subconsciously eroding people's mind lakini kuna baadhi hawataki kuamini, but anyway, luckly we have the antidote, we have a cure, na munaijua ni gani (G4G). The NIT are playing politics za 'kicks of a dying horse', ile politics ya 'let do anything, if we go down, we go down with everything'...
.
.
.
Anyway, dont take this serious vile,,,,(currently watching GoT series next to a bag of popcorns)

No comments:

Post a Comment